Features Madrasa App
Madrasa App ni application inayokuwezesha kujifunza dini ya kiislamu kwa njia nyepesi na rahisi kupitia videos zilizoandaliwa kutokana na mashekhe wenye maarifa makubwa ya elimu ya dini.Application hii itakuwezesha kujifunza popote pale ulipo na muda wowote hule,ina masomo kadhaa ambayo kila siku yanaendelea kuwekwa kwa mujibu wa mahitaji na maslahi wa wasomaji.
📸
Camera Features
Advanced camera features with editing capabilities.
Screenshots
See the Madrasa App in Action
Get the App Today
Download on Google Play
Available for Android 8.0 and above